Miaka 8 bila Mangwair Picha marehemu Mangwair Leo ni miaka 8 tangu alipofariki dunia mfalme wa freestyle kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Albert Keneth Mangwair ‘Mangwair’, kilichotokea huko Johannesburg nchini Afrika Kusini. Read more about Miaka 8 bila Mangwair