Al Ahly na RSB Berkane nani kubeba CAF Super Cup?
Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya klabu bingwa Afrika, Al Ahly ya Misri inataraji kushuka dimbani saa 1:00 usiku wa leo kucheza dhidi ya RS Berkane ya Morocco kwenye dimba la Jassim Bin Hamad, Doha nchini Qatar kwenye fainali ya CAF Super Cup 2021.