Usher na Jenn watarajia mtoto Picha ya pamoja Jenn na Usher Msanii Usher Raymond IV (Usher) na mpenzi wake Jenn wanatarajia kupata mtoto wao wa pili, taarifa hii inakuja baada ya wawili hao kuweka wazi juu ya ujauzito huo usiku wa kuamkia leo. Read more about Usher na Jenn watarajia mtoto