Serikali yatoa muongozo kujikinga na Corona

Prof. Abel Makubi, Katibu Mkuu Wizara ya Afya

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata miongozi sahihi ikiwemo kuvaa barakoa kwenye ofisi zote za serikali, shuleni na taasisi mbalimbali ikiwemo Hospitali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS