Baada ya kutazama Simba Vs Yanga, Rais atua Dodoma Rais Samia akiwasili uwanja wa Ndege wa Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Julai, 4, 2021, amewasili jijini Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam. Read more about Baada ya kutazama Simba Vs Yanga, Rais atua Dodoma