Msongamano wa mahabusu magerezani Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo kwenye Gereza la Isanga Jeshi la Magereza nchini linakabiliwa na msongamano wa mahabusu katika magereza mbalimbali mikoani hali inayopelekea mzigo mkubwa kwa wafungwa kulima ili kuwalisha mahabusu. Read more about Msongamano wa mahabusu magerezani