Dkt Mpango asisitiza tahadhari Corona, kazi halali
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juini 27,2021 amefungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaofanyika Jijini Tanga.