Janjaro apagawa na mauzo Msanii Dogo Janja Ikiwa hata wiki moja haijafikisha album ‘Asante Mama’, Dogo Janja adata na kasi ya mauzo ambayo ameendelea kuyashuhudia ndani ya kipindi hicho kifupi. Read more about Janjaro apagawa na mauzo