"Nature ni Mfalme wa BongoFlava" - Chege 

Juma Nature kulia na Chege Chigunda kushoto ndani ya East Africa Radio

Mtoto wa Mama Saidi Chege Chigunda amemtaja msanii Juma Nature kama ndio Mfalme wa muziki wa BongoFlava kwa sababu ya uwepo wake na kuacha alama kwenye muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS