Tundaman aiba pochi ya Mkewe Msanii Tundaman na akiwa na pochi ya mke wake Ni headlines za msanii Tundaman 'Captain wa BongoFlava' ambaye kwenye mtoko wake ameamua kutembea na pochi aliyoichukua kwa mke wake nyumbani bila kumpa taarifa yoyote. Read more about Tundaman aiba pochi ya Mkewe