Vee Money aibukia kwenye uandishi Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi wameandika kitabu ‘SWAHILI 101 vol.1’ chenye kurasa 37 chenye lengo la kuwasaidia watu kujua lugha ya Kiswahili na kuweza kuzungumza kwa haraka. Read more about Vee Money aibukia kwenye uandishi