Okwi nahodha mpya Uganda Cranes Emmanuel Okwi Kocha wa timu ya Taifa ya Uganda Cranes Abdalah Mubiru ametangaza kikosi cha wachezaji 34 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi Afrika kusini tarehe 10/5/2021. Read more about Okwi nahodha mpya Uganda Cranes