Wachezaji 6 kuikosa Kariakoo Derby kesho Julai 3
Mchezo wa watani wa jadi kutoka mitaa ya kariakoo 'Kariako Derby' unaozikutanisjha timu za Simba na Yanga, unataraji kuchezwa kesho saa 11:00 jioni kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo huo kughairishwa Mei 8 mwaka huu.

