Uswisi watatusumbua - Luis Enrique
Kocha wa timu ya taifa ya Hispania Luis Enrique amesema anatagemea kupata ushindani mkubwa dhidi ya timu ya Uswisi kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Euro 2020, mchezo utakao chezwa leo Saa 1:00 Usiku katika dimba la Krestovsky St Petersburg,Urusi.

