Polisi wasimulia jinsi dereva alivyomuuwa kondakta
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga, amesema jeshi la polisi mkoani humo linamshikilia dereva wa daladala ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la mauaji ya kondakta wa daladala Juma Hamis, wakati wakigombea abiria.

