Kikwete, awa kivutio mkutano wa Yanga
Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa Yanga kupitisha rasimu ya mabadiliko ya uendeshaji wa klabu hiyo aligeuka kivutio kwa hotuba na simulizi zake zilizojaa mzaha na masikhara.

