Middleton nouma, aibeba Bucks fainali NBA

Nyota wa Clippers, Khris Middleton akitupia mpira kuisaidia timu yake kupata alama.

Nyota wa timu ya Milwaukee Bucks, Khris Middleton ameibuka kuwa nyota wa mchezo wa mzunguko wa tatu wa fainali ya ligi ya kikapu nchini Marekani ukanda wa Mashariki baada ya kupata alama 38, rebaundi 11 na assisti 7 na kuisaidia timuu yake kushinda kwa alama 113-102 dhidi ya Atlanta Hawks.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS