Johanna Konta naye ajiondoa Wimbledon
Nyota namba moja kwa ubora nchini England katika mchezo wa tenisi, Johanna Konta ameondolewa kwenye michuano mikubwa ya Wimmbledon iliyoanza kutimua vumbi leo kutokana na nyota huyo kuwekwa karantini baada ya kuwa karibu na mgonjwa wa Covid-19.

