Serena aanza vyema michuano ya Wimbledon

Bingwa mara 5 wa michuano wa Wimbledon, Serena Williams akiwa uwanjani.

Bingwa mara tano wa michuano ya Wimbledon , Serena Williams ameanza vyema mashindano hayo kwa ushindi Mihaela Buzarnescu na kufuzu raundi ya kwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS