Mkinga Mkinga azikwa Chato Mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari na baadae kuwa Mhariri na Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya uchapishaji ya gazeti la Jamhuri, Marehemu Mkinga Babu Mkinga umezikwa kijini kwao Bwina wilayani chato Mkoani Geita. Read more about Mkinga Mkinga azikwa Chato