Deo Kithama alichambua vazi la Harmonize
Mtangazaji wa kipindi cha Nirvana ya East Africa TV Deogratius Kithama, amelichambua vazi la kijiko,uma na visu vya siagi ambavyo amevaa msanii na CEO wa Konde Music Worldwide Harmonize kwenye video ya wimbo wake wa Attitude.