Baba mtoto wa Amber Lulu afunguka ishu ya ujauzito
Mpenzi na baba mtoto wa msanii Amber Lulu aitwaye Ember Botion amesema mtoto aliyempata na Amber Lulu ni wake mwenyewe na haukua ujauzito wa Uchebe au P Funk Majani kama ilivyokuwa inasemekana mitandaoni.