Serikali yaahidi mazingira rafiki katika Elimu

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Dkt. Leonard Akwilapo (kushoto) wakati akizindua ripoti ya HakiElimu inayoitwa ‘Elimu tunayoitaka’ kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu Dkt. John Kalage.

Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imesema kuwa itahakikisha inaweka mazingira ya Elimu katika hali inayoendana na ukuaji wa Teknolojia na mabadiliko ya karne ya 21.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS