Olympic bila mashabiki hainogi-Rais wa kamati
Zikiwa zimesalia siku 88 kabla ya kuanza rasmi michuano mikubwa na mikongwe ya Olympiki tarehe 23/7/2021 Tokyo Japan, kamati ya kuratibu mashindano hayo imesema wapo katika hatua ya mwisho kuona uwezekano wa idadi ya mashabiki watakaoruhusiwa kuingia viwanjani.