Durrant arejea na kuipelekea Brooklyn kileleni NBA
Mcheza kikapu nyota wa Brooklyn Nets, Kevin Durant amerejea dimbani dhidi ya Phoenix Suns usiku wa kuamkia leo na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa alama 128-119 kwenye ligi kuu ya kikapu nchini Marekani NBA tokea awe nje ya uwanja Aprili 7, 2021.