Watanzania epukeni chuki na uchonganishi-Polisi
"Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina wahakikishia kuwa vitaendelea kulinda amani na usalama wa nchi pamoja na maisha na mali zenu na tuendelee kutoa wito wa kuzingatia kanuni za kiusalama zinazotakiwa zianze na kila mmoja wetu kwanza"

