Namungo yatoka mikono mitupu shirikisho Steven Sey mshambuliaji wa Namungo aliyefanya vizuri katika mechi za kufuzu Klabu ya soka ya Namungo FC kutoka Lindi, usiku wa jana Aprili 28, 2021, imepoteza mchezo wake wa mwisho dhidi Pyramids ya Misri kwa bao 1-0. Read more about Namungo yatoka mikono mitupu shirikisho