Rais Mwinyi atoa rai kwa ofisi ya Mufti na Madrasa

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ametoa rai kwa ofisi ya mufti na madrasa kushirikiana kwa pamoja, ili kuhakikisha kuwa wana mikakati endelevu ya kuandaa vijana ili waweze kushiriki katika mashindano ya kimataifa na kuweza kuitangaza nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS