Agness aichambua mahari yake ya Milioni 500

Msanii Official Agness

Ni 'headilines' za msanii wa filamu na muziki Official Agness ambaye amefunguka chanzo cha kutaka mahari ya Milioni 500 kwa mtu anayetaka kumuoa kwa kusema mahari hiyo ni kujipa thamani kama mwanamke, gharama walizotumia wazazi wake kumlea na kumsomesha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS