Wanaozusha Hayati Magufuli alipewa sumu kutafutwa 

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaotoa taarifa zisizo za kweli mtandaoni juu ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kuwa wasilete uchonganishi kwani taarifa ya madaktari iliweka wazi juu ya kifo chake kilikotokana na tatizo la moyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS