Alaba akubali kujiunga na Real Madrid Mlinzi wa Bayern Munich, David Alaba akiwa kwenye majukumu ya kuitumikia klabu yake. Mlinzi wa Bayern Munich, David Alaba amefikia makubaliano ya kujiunga na klabu ya Real Madrid ifikapo wakati wa majira ya kiangazi msimu huu. Read more about Alaba akubali kujiunga na Real Madrid