Benzema akomaa na Messi, matukio makubwa Ulaya. Karim Benzema amefunga magoli mawili katika mchezo wa jana dhidi ya Cadiz ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-0. Read more about Benzema akomaa na Messi, matukio makubwa Ulaya.