Wananchi wachukue tahadhari kimbunga Jobo- TMA
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wote hususan wa kanda ya pwani ya Mkoa wa Lindi kufuatia uwepo wa Kimbunga kilichopewa jina la JOBO ambacho kinatarajiwa kuwa na baadhi ya madhara.