Kipi kinaendelea juu ya mashindano mapya Ulaya?

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez anatajwa kuwa na nguvu katika kukamilika kwa mchakato wa uanzishwaji wa mashindano mapya Ulaya.

Vilabu 12 barani Ulaya vimekubaliana na kutangaza mashindano yao mapya yanayoitwa European Super League.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS