Yanga yatinga robo fainali ASFC
Klabu ya soka ya Yanga imetinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya waliokuwa wenyeji wao maafande wa Tanzania Prisons.