Dani Carvajal nje msimu mzima, Ramos arejea

Mlinzi wa kulia wa Real Madrid, Dani Carvajal (kushoto) na nahodha wa timu hiyo, Sergio Ramos (kulia).

Mlinzi wa kulia wa Real Madrid, Dani Carvajal ataikosa michezo yote iliyosalia ya michuano yote msimu huu baaada ya majibu ya vipimo mchana wa leo Aprili 29, 2021 kuonesha kuwa ana maumivu makali yanayosababishwa na kuchanika kwa misuli ya paja..

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS