Kikosi cha Esperance ya Tunisia kilichotwaa ubingwa wa Afrika katika mchezo wa wavu.
Mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa wavu Africa yamefikia tamati nchini Tunisia na kushuhudia wenyeji Esparance wakiibuka mabingwa baada ya kuwafunga Zamaleki ya Misri seti 3-0.