VPL: Mbeya City Basi limewaka waichapa JKT 6-1
Klaby ya Mbeya City imepanda kwa nafasi nne kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 6 -1 dhidi ya JKT Tanzania, kwenye mchezo ulichezwa katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.