Yanga hatoki ng'o,tutawakilisha kimataifa-Prisons Kikosi cha Tanzania Prisons chenye sifa ya kuzibania Simba na Yanga Kocha msaidizi wa Tanzania Prisons, Shabani Kazumba amesema wataifunga Yanga na kwenda kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho 'ASFC' ili wawakilishe nchi kimataifa. Read more about Yanga hatoki ng'o,tutawakilisha kimataifa-Prisons