Mtibwa,Kagera hali tete ligi kuu Kikosi cha Mtibwa Sugar kilicho kwenye hatihati ya kushuka daraja Klabu ndugu za Mtibwa Sugar na Kagera Sugar zimepoteza mechi zao za leo za ligi kuu Tanzania bara na hivyo kuleta mashaka ya kubakia kwa msimu ujao. Read more about Mtibwa,Kagera hali tete ligi kuu