Zidane afurahia matokeo ya sare, Tuchel anuna
Mabingwa wa kihistoria ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, Klabu ya Real Madrid imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Chelsea kwenye uwanja wake wa nyumbani kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano hiyo usiku wa kuamkia leo.