Kisa cha LaMarcus kustaafu NBA kinasikitisha Nyota wa Brooklyn Nets, LaMarcus Aldridge. Nyota wa Brooklyn Nets, LaMarcus Aldridge ametangaza kustaafu kucheza mchezo wa mpira wa kikapu ligi kuu nchini Marekani NBA kutokana na maradhi ya moyo yanayomsumbua akiwa mchezoni. Read more about Kisa cha LaMarcus kustaafu NBA kinasikitisha