BASATA watoa tamko sakata la video za Harmonize
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeingilia kati sakata la kusambazwa kwa video zisizo na maadili kwa msanii Harmonize kwa kutoa taarifa inayosema imesikitishwa na kitendo hicho kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii.