"Chidi Benz alinyea kambi" - Prof Jay
Mbunge nje ya Bunge na msanii wa mkongwe wa muziki wa HipHop hapa nchini Prof Jay ameshea stori ya kile kilichotokea kati yake na Chidi Benz ambapo stori zilizotoka zilidai kwamba Prof Jay amepigwa na Chidi Benz.