Bosi wa zamani wa TAKUKURU akwaa Urais TLS Dkt. Edward Hoseah Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimefanya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Edward Hoseah ameibuka mshindi wa nafasi hiyo kwa kupata kura 297 katika uchaguzi uliojaa ushindani mkali. Read more about Bosi wa zamani wa TAKUKURU akwaa Urais TLS