Ramos akutwa na Corona Sergio Ramos Nahodha wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid Sergio Ramos amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kwa sasa Ramos yupo nje ya uwanja kutokana na majeraha ya misuli. Read more about Ramos akutwa na Corona