Shilingi trilioni 114.8 zapitishwa kutumika hapa Waziri wa Fedha na Mpango Mhe. Mwigulu Nchemba Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania leo Jumatatu tarehe 12 Aprili, 2021 limepitisha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26. Read more about Shilingi trilioni 114.8 zapitishwa kutumika hapa