Wakazi aibuka tena na Gigy Money
Msanii wa HipHop Wakazi ameendeleza kampeni ya 'Free Gigy Money' ambayo inahusu kufunguliwa kwa msanii Gigy Money ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya sanaa kwa kipindi cha miezi 6 kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).