Atakachofanya Rais Samia nchini Uganda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Aprili, 2021 ameondoka nchini kwenda Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Read more about Atakachofanya Rais Samia nchini Uganda