Serikali yajibu matibabu bure kwa wazee Tanzania Moja ya Zahanati nchini Serikali kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema matibabu ya wazee wenye umri wa kuanzia miaka 60 bado ni bure kama sera ya serikali inavyoeleza. Read more about Serikali yajibu matibabu bure kwa wazee Tanzania